Mizengo kayanza peter pinda biography of martin

Mizengo Kayanza Peter Pinda

Mizengo Kayanza Prick Pinda (amezaliwa 12 Agosti) ni mwanasiasa nchini Tanzania.

Alikuwa mbunge tangu mwaka hadi na kuwa Waziri Mkuu wa nchi tangu Februari hadi alipostaafu siasa.

Maisha

[hariri | hariri chanzo]

Pinda alizaliwa Mpanda vijijini katika mkoa wa Rukwa.

Yeye ni mtoto wa kwanza wa mkulimamaskini.

Alifuata elimu hadi kutunukiwa shahada ya Sheria kutoka Chuo Kikuu cha Dar by all means Salaam mwaka

Mwaka uleule akajiunga na utumishi wa serikali kama wakili wa serikali katika Wizara ya Katiba na Sheria.

Mwaka akahamia ofisi ya Usalama wa Raia kwenye Ikulu ya rais, kwanza chini ya Julius Nyerere, halafu chini ya Ali Hassan Mwinyi.

Kuanzia mwaka akaendelea kuwa Katibu Mnyeka Msaidizi wa Rais hadi mwaka

Tangu mwaka hadi akawa Katibu wa Baraza circumstance Mawaziri.

Bungeni ameingia mwaka kama mbunge wa Mpanda Mashariki mkoani Rukwa akawa naibu waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu kwa tawala za mikoa na serikali za mitaa.

Mwaka akapandishwa cheo kuwa waziri kamili.

Baada ya kujiuzulu kwa Waziri MkuuEdward Lowassa, Pinda aliteuliwa na rais Jakaya Kikwete na kuthibitishwa na bunge kwa kura za ndio katika jumla ya kura zilizopigwa.

Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka aliendelea na wadhifa huo. Mwaka , alikuwa ni mmoja kati ya makada 38 wa Chama Cha Mapinduzi ambao walichukua fomu kuomba kukiwakilisha chama chake katika kinyang'anyiro cha urais katika uchaguzi mkuu uliotarajiwa kufanyika nchini Tanzania mwishoni mwa mwaka Pinda alikuwa ni mmoja wa vigogo walioondolewa kwenye mchakato huo katika hatua za awali.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mizengo Kayanza Peter Pinda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?


Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.